• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Jumuiya ya Madola: Kenya yanyakua medali moja ya dhahabu

  (GMT+08:00) 2018-04-13 08:40:03

  Wycliffe Kinyamal ameishindia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu katika mbio za fainali za wanaume za mita 800, katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayoendelea mjini Gold Coast Australia.

  Bara la Afrika linamategemeo ya kupata medali zaidi kutoka kwa wanamichezo wan chi mbalimbali za Afrika zinazoshiriki michuano hiyo.

  Mwanariadha toka Afrika Kusini, Caster Semenya, anapewa matumaini ya kupata medali ya pili ya dhahabu, baada ya kumaliza wa kwanza katika raundi ya kuingia katika fainali za mita 800.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako