• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuanza Kesho

  (GMT+08:00) 2018-04-13 08:40:22
  Mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 17 yanatarajiwa kuanza kesho nchini Burundi ambapo timu mbili zitakazomaliza kwenye nafasi ya juu, zitafuzu fainali za Afrika kwa vijana wa umri huo zitakazofanyika Tanzania.

  Mashindano hayo yanafanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya soka ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na mechi zake zimepangwa kuchezwa kwenye viwanja vitatu vya Ngozi, Muyinga na Gitega.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako