• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Francis Kimanzi ashinda tuzo ya kocha bora mwezi Februari 2018

  (GMT+08:00) 2018-04-13 08:40:39
  Kocha mkuu wa klabu ya Mathare United Francis Kimanzi ndiye mshindi wa tuzo ya Fidelity Insurance ya mkufunzi bora wa mwezi Februari mwaka huu 2018 nchini Kenya.

  Kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars, alipata tuzo hiyo baada ya kumshinda kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya KPL K'ogallo Gor Mahia Dylan Kerr katika kinyangayiro hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako