• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uber yaingia kwenya mapatano na kampuni 9 kuboresha huduma zake

  (GMT+08:00) 2018-04-13 20:07:40

  Kampuni ya huduma ya usafiri wa teksi Uber imeingia kwenye mapatano na kampuni nyingine tisa ikiwa na lengo la kuboresha huduma zaidi zake kote nchini Kenya.Kampuni hizo ni pamoja na mamlaka ya usalama barabarani NTSA, hospitali ya M.P Shah, kampuni ya kutoa huduma za dharura Flare, Toyotsu,Huawei,Techno, Essilor,Kingsway. Telkom Kenya. Kampuni ya Flare imejiandaa kutoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa madereva wote wa Uber.Essilor pia imeahidi kutoa huduma za matibabu ya macho bila malipo kwa madereva wa Uber. Hii wanasema itasaidia madereva kuwa na elimu ya kutosha kuhusu jinsi ya kuwahudumia wateja wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako