• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya filamu za VR ya sikukuu ya kimataifa ya Beijing ya filamu yafunguliwa

  (GMT+08:00) 2018-04-15 16:08:28

  Maonesho ya filamu za VR ya sikukuu ya nane ya kimataifa ya Beijing ya filamu yamefunguliwa jana hapa Beijing. Hii ni mara ya kwanza ya sikukuu hiyo kuwekwa maonesho ya filamu za VR.

  Maonesho hayo yametoa filamu nane zilizotengenezwa na Uingereza, Marekani, Iraq na Taiwan ya China, na kuwavutia watazamaji wengi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako