• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UAE yasitisha mafunzo kwa jeshi la Somalia baada ya ndege yake kukamatwa

  (GMT+08:00) 2018-04-16 09:08:22

  Umoja wa Falme za Kiarabu UAE umesema jeshi lake litasitisha mafunzo kwa jeshi la Somalia, baada ya ndege yake ya abiria inayobeba fedha zilizotolewa kwa ajili ya jeshi la Somalia kukamatwa na serikali ya Somalia.

  Uamuzi huo ulitolewa baada ya serikali ya Somalia kukamata dola za kimarekani milioni 9.6 kwenye ndege hiyo katika uwanja wa ndege wa Mogadishu.

  Wizara ya mambo ya nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu imesema, maofisa 47 wa jeshi lake walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ilipokamatwa na serikali ya Somalia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako