• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ndege mbili ndogo zaanguka baada ya kugongana kusini magharibi mwa Ujerumani

  (GMT+08:00) 2018-04-16 09:09:56

  Ndege mbili ndogo zilianguka baada ya kugongana jana alasiri kusini magharibi mwa Ujerumani, na kusababisha vifo vya watu wawili. Polisi wa huko wamesema ndege hizo ziligongana kaskazini mwa jimbo la Baden-W├╝rttemberg, wakati zikijaribu kutua kwenye uwanja wa ndege. Uchunguzi wa ajali hiyo bado unaendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako