• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda kuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa nchi wanachama Afrika

  (GMT+08:00) 2018-04-16 10:31:33

  Nchi ya Rwanda inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa shirikisho la vyama vya mchezo wa tennis Afrika utakaofanyika Aprili 27 na Aprili 28.

  Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Chama cha Tennis cha Rwanda RTF, imeeleza kuwa viongozi kadhaa kutoka nchi 50 ambazo ni wanachama pamoja na viongozi kutoka chama cha tennis duniani ITF watahudhuria.

  Hii ni mara ya kwanza kwa Rwanda kuandaa mkutano huo na ikiwa ni kwa mara ya kwanza unafanyika nje ya nchi zilizozoeleka za Morocco, Algeria, Egypt au South Africa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako