• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda iliagiza magari zaidi na mabaki ya makaa, malighafi kwa ajili ya kutengeneza saruji.

  (GMT+08:00) 2018-04-16 19:33:28

  kulingana na data kutoka Mamlaka ya Mapato ya Uganda Uganda iliagiza magari zaidi na mabaki ya makaa, malighafi kwa ajili ya kutengeneza saruji.

  Uagizaji mwingine ulijumuisha ngano, chuma, mbolea, mahindi na makaa ya mawe.

  Zaidi ya magari 4,272 ziliagizwa nchini mwezi Machi peke yake ikilinganishwa na wastani wa 3,000. Hii ni ya juu zaidi zaidi ya miaka minne.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako