• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sudan: Mfumuko wa bei wa mwezi Machi ilifikia asilimia 55.60 kutokana  na kupanda kwa bei usafiri

  (GMT+08:00) 2018-04-16 19:34:00

  Kulingana na Shirika la Kati la Takwimu la Sudan, mfumuko wa bei wa mwezi Machi ilifikia asilimia 55.60; kutoka asilimia 54.34 mwezi Februari. Bei za usafiri wa umma ilipanda mara dufu.

  Bei za mboga na matunda zilipungua mwezi uliopita.

  Kiwango cha mfumuko wa bei katika maeneo ya vijijini ilifikia asilimia 60.71 mwezi Machi, ikilinganishwa na asilimia 59.59 mwezi Februari.

  El Gezira, kusini mwa Khartoum, iliandikisha kiwango cha juu cha mfumuko wa bei: asilimia 82.28; Khartoum iliandikisha ya chini kabisa asilimia 47.64.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako