Tamasha la 8 la filamu la kimataifa la Beijing lilifunguliwa tarehe 15 jioni kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Yanxihu.