• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China iko tayari kuchukua hatua za lazima kulinda maslahi halali ya kampuni za China

  (GMT+08:00) 2018-04-17 10:25:13

  Msemaji wa wizara ya biashara ya China leo hapa Beijing amesema, China iko tayari kuchukua hatuza za lazima, ili kulinda maslahi halali ya kampuni za China.

  Kauli hiyo imetolewa kufuatia Wizara ya biashara ya Marekani kutangaza kuchukua hatua za kuzuia kampuni ya ZTE ya China kuagiza bidhaa kutoka Marekani.

  Msemaji huyo amesema kampuni ya ZTE imekuwa na ushirikiano na mamia ya kampuni za Marekani kwenye biashara na uwekezaji, na kutoa maelfu ya nafasi za ajira nchini Marekani. Amesema China inaitaka Marekani ishughulikie kwa makini tukio hilo kwa mujibu wa sheria na kanuni husika, na kuweka mazingira ya kisheria yenye haki na utulivu kwa kampuni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako