• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makampuni mengi ya cinema na uuzaji wa filamu ya China na nchi za nje yahudhuria Baraza la kimataifa la soko la filamu

    (GMT+08:00) 2018-04-17 18:28:00

    Baraza la kimataifa la soko la filamu katika tamasha la nane la filamu la kimataifa la Beijing limefunguliwa leo hapa Beijing. Wajumbe kutoka sekta ya filamu wa China na nchi za nje wamehudhuria mkutano huo na kujadili mwelekeo wa maendeleo ya filamu na kutafuta upande wa maendeleo ya soko la filamu la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako