• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la muungano lasema kundi la Houthi limerusha makombora 119 dhidi ya Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2018-04-18 09:42:06

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umesema kundi la Houthi la Yemen limerusha makombora 119 dhidi ya Saudi Arabia tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe viibuke nchini humo. Msemaji wa muungano huo amesema makombora mengi kati ya hayo yalirushwa kutoka mkoa wa Saada unaopakana na Saudi Arabia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako