• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yatoa mwito wa kuachiwa huru kwa wapalestina wanaoshikiliwa na Israel

    (GMT+08:00) 2018-04-18 09:43:28

    Wapalestina jana walifanya maandamano katika sehemu mbalimbali nchini humo, wakionesha uungaji mkono kwa wenzao wanaoshikiliwa na Israel, na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuishinikiza Israel kuwaachia huru. Waziri mkuu wa Palestina Bw. Rami Hamdallah siku hiyo ametoa taarifa akisema serikali ya Israel inatakiwa kuwajibika na usalama wa maisha ya wapalestina wanaoshikiliwa, na pia ameitaka jumuiya ya kimataifa itekeleze wajibu wake na kulinda haki halali za wafungwa hao wa Palestina kwa mujibu wa maazimio ya kimataifa na Katiba ya Umoja wa mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako