• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasanii wa filamu wajadili njia ya kuendeleza tasnia ya filamu China

    (GMT+08:00) 2018-04-18 09:50:19

    Baraza la maendeleo la tasnia ya filamu la China limekutana jana hapa Beijing, ambapo wasanii wa filamu na wataalamu kutoka vyuo mbalimbali vya filamu wamejumuika pamoja kujadili njia ya maendeleo ya tasnia ya filamu nchini China.

    Profesa wa Chuo cha tamthilia na filamu katika Chuo kikuu cha mawasiliano cha China Bibi Si Ruo anaona kuwa tasnia ya filamu ya China inapaswa kutumia fursa mbalimbali ili kuibadilisha China kutoka nchi kubwa ya filamu kuwa nchi yenye ushawishi mkubwa wa filamu.

    Naibu mkuu wa Chuo cha Filamu cha Beijing Bw. Yu Jianhong anaona kuwa inatakiwa kuinua ubora wa filamu kwa njia ya kuunda mfumo kamili wa watengenezaji wa filamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako