• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi na raia wa Kenya watoa mwito wa kuvunja tume ya uchaguzi

    (GMT+08:00) 2018-04-18 10:13:09

    Viongozi na raia wa Kenya wametoa wito wa kuvunja tume ya uchaguzi baada ya makamishna watatu kujiuzulu kutokana na migongano isiyoisha.

    Migongano hii ilianza mwaka jana kwenye vipindi viwili vya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, na makamishna watatu wa tume ya uchaguzi Consalata Maina, Paul Kurgat na Margaret Mwachanya juzi wamejiuzulu.

    Kiwango cha imani ya wananchi na tume hiyo kimeshuka zaidi, na inaonekeana kuwa kuvunjwa kwa tume hiyo ndio njia pekee ya kutatua wa suala hilo.

    Kwa mujibu wa sheria, makamishna watano kati ya saba wa tume hiyo wanaweza kufanya maamuzi, lakini kwa vile sasa kuna ukosefu wa makamishna watatu, tume hiyo haiwezi kufanya kazi ipasavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako