• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AMISOM yapongeza vikosi vya Uganda kwa huduma zao nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2018-04-18 10:13:41

    Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM jana imewapongeza askari wa Uganda kutokana na juhudi zao za kuhakikisha usalama na utulivu nchini Somalia na kukamilisha majukumu yao kwa bidii.

    .Akitoa pongezi hizo Naibu kamanda wa vikosi vya AMISOM Bw. Salvator Harushimana amesema, katika kipindi cha majukumu yao, askari wa Uganda walifanya kazi kwa kujitolea na kwa njia za kitaaluma. Amesema askari hao si kama tu wanawakilisha Uganda, bali pia ni fahari ya bara la Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako