• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kupeleka walinzi 395 wa amani Mali

    (GMT+08:00) 2018-04-19 09:24:40

    China itatuma walinzi 395 wa amani nchini Mali mwezi Mei kuhudumia Tume ya Umoja wa Mataifa nchini humo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Imethibitishwa kuwa batalioni hii yenye askari 170 wa ulinzi, askari 155 wa uhandisi na wengine 70 wa matibabu, itakuwa ni kikosi cha sita cha walinzi wa amani wa China kupelekwa nchini Mali, na kutekeleza majukumu ya kukarabati miundombinu, kulinda makao makuu kwenye maeneo ya vita, na kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa na majeruhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako