• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makubaliano ya umoja kati ya viongozi wa Kenya yakuza uchumi wao

    (GMT+08:00) 2018-04-19 09:25:30

    Makubaliano ya umoja kati ya rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mshindani wake mkuu kwenye uchaguzi uliopita Bw. Raila Odinga yameanza kuleta manufaa.

    Makubaliano hayo ya kisiasa yaliyosainiwa tarehe 9 mwezi Machi, mwaka jana, si kama tu yanasaidia kudumisha amani nchini humo bali pia kukuza uchumi wa nchi. Thamani ya shilingi ya Kenya imepanda kutoka shilingi 101.05 kwa dola moja hadi shilingi 100.4 kwa dola moja na kuwa ya juu zaidi ndani ya miaka miwili iliyopita.

    Wachambuzi wamesema, utulivu wa kisiasa nchini humo umesaidia kudumisha mazingira mazuri ya uchumi ambayo yamechangia ongezeko la thamani ya shilingi ya Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako