• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi kazi cha uchunguzi wa OPCW chawasili Douma, Syria

    (GMT+08:00) 2018-04-19 09:52:33

    Wizara ya mambo ya nje ya Syria imesema, kikosi kazi cha uchunguzi cha Shirika la kupiga marufuku silaha za kikemikali OPCW kimewasili mjini Douma, mashariki mwa Damascus, Syria, ili kutathmini hali ya usalama ya huko.

    Naibu waziri wa mambo ya nje wa Syria Bw. Faisal Mekdad amesema, serikali ya Syria itaunga mkono uchunguzi wa OPCW. Pia amesema ujumbe huo umefanya mazungumzo mara nyingi na serikali ya Syria kuhusu kufanya uchunguzi kwa haki, uwazi na usahihi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako