• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la ndege la Ethiopia lalenga kueneza soko la China

    (GMT+08:00) 2018-04-19 17:46:21

    Shirika la Ndege la Ethiopia limesema lina nia ya kueneza soko lake nchini China na kuwa shirika la ndege la kirafiki kati ya China na Afrika.

    Hayo yamesemwa kwenye ripoti ya Shirika hilo iliyowasilishwa kwenye bunge la nchi hiyo, ambayo pia imesema zaidi ya raia 4,000 wa China wanapanda ndege yao kila siku.

    Mkuu wa ofisi ya huduma za kimataifa ya Shirika hilo Bw. Esayas Woldemariam amasema Shirika hilo limechukua hatua kadhaa ili kuwavutia wageni wa China, ikiwemo kituo cha kuuliza maswali kwa Kichina na wahudumu wa China wanaotoa huduma ya chakula cha kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako