• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan amfuta kazi waziri wa mambo ya nje

    (GMT+08:00) 2018-04-20 08:47:24

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amemfuta kazi waziri wa mambo ya nje Bw. Ibrahim Ghandour, baada ya Bw. Ghandour kuliambia bunge Jumatano kuwa wizara yake imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake kwenye balozi za Sudan katika nchi za nje na kodi za majengo ya balozi kote duniani, ambayo jumla ya gharama hizo imefikia dola milioni 30 za kimarekani, lakini bajeti ya wizara yake kwa mwaka ni dola milioni 69 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako