• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Ethiopia ateua baraza jipya la mawaziri

    (GMT+08:00) 2018-04-20 09:20:40

    Waziri mkuu wa Ethiopia Bw. Abiy Ahmed ameteua mawaziri 16 wapya na maofisa wengine 9 wa idara mbalimbali za serikali.

    Baada ya teuzi hizo kuidhinishwa na bunge la Ethiopia, baraza la mawaziri la Ethiopia wamekuwa na mawaziri 29. Kati ya mawaziri hao 16, 10 wameteuliwa upya kuwa mawaziri, na wengine 6 wamehamishwa kwenda wizara nyingine. Wengine 13 wa baraza hilo wamebaki kwenye nyadhifa zao za zamani.

    Habari pia zinasema bunge la Ethiopia limechagua Bibi Muferiat Kamil kuwa spika wa baraza la chini la bunge, akiwa ni mwanamke wa kwanza kuwa spika wa baraza la chini la bunge katika historia ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako