• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wazitaka pande mbalimbali za Sudan Kusini kutimiza ahadi ya mchakato wa amani

    (GMT+08:00) 2018-04-20 09:36:59

    Ujumbe wa baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika PSC umemaliza majukumu yake ya siku sita nchini Sudan Kusini, ukizitaka pande zote zinazopambana kutimiza ahadi yao kwa mchakato wa amani unaoendelea.

    Ujumbe huo pia umeziaka pande husika kufikiria makubaliano halisi ya amani na kuhakikisha duru ijayo ya mazungumzo ya baraza la HLRF isishindwe kwa kuwa ni fursa ya mwisho kwa amani.

    Ujumbe huo umetoa taarifa kuwa ujumbe wa PSC unawahakikishia wadau wote utayari na dhamira ya Umoja wa Afrika ya kufanya juhudi zote katika kuunga mkono IGAD na pande mbalimbali za Sudan Kusini kutatua changamoto zinazoukabili mchakato wa amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako