• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa shirikisho la soka la DRC awekwa chini ya ulinzi

    (GMT+08:00) 2018-04-20 09:39:03

    Rais wa Shirikisho la Soka nchini DRC (FECOFA), Constant Omari, na maafisa wengine watatu wa michezo nchini humo wamewekwa chini ya ulinzi mjini Kinshasa. Uamuzi huo umechukuliwa na mahakama kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za umma.

    Inadaiwa kuwa, watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na matumizi hayo ya kiasi cha dola za Marekani milioni moka fedha zilizokuwa zimetolewa na shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa ajili maandalizi ya michuano ya timu za taifa za soka na klabu zilizoshiriki katika michuano ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako