• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msimu mpya wa ligi ya FKF nchini Kenya kuanza mwezi Mei

    (GMT+08:00) 2018-04-24 08:37:44
    Ligi ya msimu mpya 2018 ya shirikisho la mpira wa miguu nchini Kenya FKF tawi la Pwani Kusini, itaanza rasmi tarehe Mei 5.

    Hatua hiyo ni kufuatia mkutano kati ya viongozi wa vilabu shiriki na maafisa wa shirikisho la soka la FKF tawi la Pwani kusini uliofanywa mjini Mombasa.

    Mkutano huo ulijadili namna ligi ya msimu uliopita ilivyoendeshwa na msimu huu itakavyoendeshwa. Jumla ya timu 36, zimegaanywa kwenye makundi manne ya timu tisa kwa kila kundi, zitashiriki ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako