• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FA yawaomba radhi Harry Kane na Smalling

    (GMT+08:00) 2018-04-24 08:38:03
    Chama cha soka England FA jana kimetangaza rasmi kufikia maamuzi ya kuwaomba msamaha wachezaji Chris Smalling wa Manchester United na mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane kufuatia tweet yao waliyoipost kupitia account yao ya twitter kutafsirika tofauti.

    FA wameomba radhi kufuatia ujumbe wao waliopost baada ya mchezo wa nusu fainali ya FA kati ya Tottenham dhidi ya Man United uliyomalizika kwa Man United kupata ushindi wa magoli 2-1, ambapo ujumbe huo unatafsirika kama ulimkosea heshima Harry Kane na Smalling.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako