• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya mpira wa kikapu wanawake barani Ulaya: Galatasaray yanyakua kombe

    (GMT+08:00) 2018-04-24 08:38:27
    Timu ya mpira wa kikapu ya wanawake ya Uturuki imeibuka mshindi katika michuano ya kombe la Ulaya FIBA.

    Timu ya Galatasaray imeichabanga timu ya Reyer kutoka Italia kwa vikapu 72 kwa 65 katika mzunguko wa mwisho wa ligi ya mpira wa kikapu Ulaya na kunyakua kombe hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako