• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza umuhimu wa kusoma ilani ya chama cha Kikomunisti

    (GMT+08:00) 2018-04-24 17:46:45

    Katibu Mkuu wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Xi Jinping, amesisitiza umuhimu wa kusoma ilani ya Chama cha Kikomunisti.

    Akiongoza mafunzo ya pamoja ya wajumbe wa ofisi ya siasa ya kamati hiyo, Xi ambaye pia ni rais wa China, amesema lengo la kupitia tena ilani ya Chama hicho ni kuelewa na kukamata nguvu ya ukweli ya fikra za Umaksi, na kuandika ukurasa mpya wa ujamaa wenye umaalum wa Kichina katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako