• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya kufuzu fainali za Afrika za Vijana U20: Ngorongoro waisubiri Mali.

    (GMT+08:00) 2018-04-25 08:48:57
    Timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea nchini DR Congo kwenye mchezo wake wa marudiano wa kufuzu fainali za Africa za Vijana chini ya umri wa miaka 20 dhidi ya DR Congo.

    Wachezaji wa Ngorongoro ambao wamefanikiwa kuivusha timu hiyo kwenda raundi ya pili wamepewa mapumziko ya siku tatu kwa mujibu wa program ya kocha mkuu Ammy Ninje.

    Katika raundi ya pili Ngorongoro Heroes watacheza dhidi ya Mali mwezi ujao mchezo wa kwanza wakianzia nyumbani Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako