• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya mpira wa kikapu Dar es Salaam (RBA): Jogoo yaipa jeuri UDSM

    (GMT+08:00) 2018-04-25 08:49:15
    Kocha wa timu ya UDSM Insider Mohamed Mgweno amesema ushindi dhidi ya Jogoo umewaongezea kasi ya kupata matokeo mazuri katika mashindano ya ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea jijini Dar es Salaam.

    Timu ya Jogoo imefungwa 73-70 katika mchezo huo mkali uliochezwa uwanja wa Bandari. UDSM Insider inashika nafasi ya 13 kati ya timu 16 zinazoshiriki ligi hiyo ya wanaume, timu kongwe ya Oilers inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 22 ikifuatiwa na Savio yenye pointi 19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako