• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki U17: Serengeti Boys kukutana na Kenya leo kwenye nusu fainali

    (GMT+08:00) 2018-04-25 08:49:56
    Timu ya vijana ya Serengeti Boys ya chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania leo inatupa karata yake muhimu kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kenya mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Muyiga nchini Burundi.

    Serengeti Boys imefuzu hatua ya nusu fainali kwa kutoa sare ya goli 1-1 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kwanza kabla ya kuifunga Sudan kwa magoli 6-0 kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako