Liverpool wamefanikiwa kuanza vyema safari ya kuelekea fainali baada ya kufanikiwa kuifunga AS Roma kwa magoli 5-2, huku wachezaji wa Liverpool Mohamed Salah na Roberto Firmino wakihusika kuimaliza AS Roma. Hebu nikupe kionjo kidogo jinsi mchezo ulivyokuwa na moja ya goli la Mohamed Salah.
AS Roma itahitaji ushindi wa goli 3-0 kwenye mchezo wa marudiano Mei 2 ili kusonga mbele.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |