• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mabingwa Ulaya: Liverpool yailipua AS Roma, Leo Real Madrid kuonyeshana ubabe na Bayern Munich

    (GMT+08:00) 2018-04-25 08:52:42

    Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) umechezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Anfield jijini Liverpool Uingereza kwa kuzikutanisha timu za Liverpool dhidi ya AS Roma ya Italia.

    Liverpool wamefanikiwa kuanza vyema safari ya kuelekea fainali baada ya kufanikiwa kuifunga AS Roma kwa magoli 5-2, huku wachezaji wa Liverpool Mohamed Salah na Roberto Firmino wakihusika kuimaliza AS Roma. Hebu nikupe kionjo kidogo jinsi mchezo ulivyokuwa na moja ya goli la Mohamed Salah.

    AS Roma itahitaji ushindi wa goli 3-0 kwenye mchezo wa marudiano Mei 2 ili kusonga mbele.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako