|
|
Habari Uzoefu wangu Malawi ulikuwa kama mafunzo ya kiroho
Ili kutimiza ndoto yangu na kufika mbali zaidi, niliondoka nyumbani na na kuagana na wazazi na marafiki zangu, na kufunga safari tena ya kwenda mbali ambako sijawahi kufika. Kama nikisema kuchagua kwenda Afrika ni kuiga mifano ya Meryl Streep na Audrey Hepburn, basi kuichagua Malawi ni kama hatma yangu, ambako nitaona mandhari nilizoandikiwa kuziona, na kukutana na watu nilioandikiwa kuwakuta.
| Uokoaji wa Wanyamapori
Nairobi ilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi barani Afrika. Mandhari safi ya kimaumbile, ndege wenye rangi mbalimbali na tumbili wanaoiba matunda kwenye soko la matunda na mbogo pamoja na majengo marefu yalinipa kumbukumbu nyingi. Mchanganyiko wa mambo ya kisasa na mazingira ya kimaumbile ilikuwa chanzo cha mimi kuupenda mji huo.
| Sarakasi yaeneza urafiki
Nikiwa mkalimani, nilikwenda Khartoum, mji mkuu wa Sudan kwa ndege pamoja na kikundi cha ujumbe wa sarakasi kutoka Wuhan, na wanafunzi wa sarakasi wa Sudan.
| Mwanga wa jua wa China unaokuwepo kwenye msitu wa kahawa wa Ethiopia---Hadithi yangu niliyokuwepo Afrika
Jina langu ni Li Lin, niliwahi kufanya kazi katika kampuni moja ya China mwaka 2013. Katika mwaka ule, nilipata fursa ya kwanza ya kuitembelea Ethiopia, nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili, na mustakbali mzuri wa maendeleo ya uchumi. Nilifurahia sana safari yangu hiyo barani Afrika, licha ya kutembelea Ethiopia, pia nilitaka kutafuta fursa za biashara kwenye sekta ya kilimo.
| Uzoefu wangu barani Afrika-Zhang Yong
Nilihitimu masomo ya chuo kikuu mwezi wa Julai, mwaka 2012, nikiwa na umri wa miaka 24, na kuajiriwa na kampuni ya kimataifa ya ushirikiano wa teknolojia na uchumi ya Liaoning. Mwishoni mwa mwezi wa Agosti, nilitumwa barani Afrika kutekeleza mradi wa msaada wa teknolojia ya kilimo wa kampuni yangu. Nilifurahi kupata habari hiyo, lakini pia nilikuwa na wasiwasi. Nilijua kuwa hii ni fursa nzuri na pia ni changamoto kubwa. Mpaka sasa nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mitano, na nina mengi ya kukumbuka..
| |
|
Picha Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi |
|
|
6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
|