• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kagere sasa kuichezea Amavubi ya Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-04-26 08:12:37
    Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Gor Mahia ya Kenya, Meddie Kagere ni miongoni mwa wachezaji watano ambao wamekubaliwa rasmi kupewa uraia wa Rwanda.

    Hatua hii imekuja baada ya wachezaji zaidi ya 60 mwaka 2015 kupoteza uraia wao wa Rwanda wakati nchi hiyo ilipoondolewa katika mashindano ya kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika baada ya kumtumia mchezaji Dadi Birori aliyekuwa ana pasi ya kusafiria ya DRC.

    Kagere ni mzaliwa wa Uganda lakini wazazi wake ni Wanyarwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako