• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu Mkuu wa FIFA afikishwa kwenye kamati ya maadili

    (GMT+08:00) 2018-04-26 08:13:51
    Katibu mkuu wa chama cha soka duniani (FIFA) Fatma Samoura, amefikishwa mbele ya kamati ya maadili ya chama hicho kufuatia tuhuma ya kukiuka maadili kwa kutoa siri za ndani na kuwa na maslahi binafsi kinyume na taratibu za FIFA.

    Hayo yametokana na shutuma kuhusu ombi la Mororcco kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 huku ikipata upinzani mkali kutoka nchi za Amerika ya Kusini ikiwemo Canada, Marekani na Mexico.

    Akijibu shutuma hizo, msemaji wa Fifa amesema mchakato wa kumpata mwenyeji wa michuano ya 2026 unafuata sheria na uwazi na hivyo hakuna mtu anayepaswa kuwa na hofu juu ya hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako