• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwango cha kuridhishwa na kazi ya ulinzi wa hakimiliki ya ubunifu chaongezeka nchini China

    (GMT+08:00) 2018-04-26 17:13:41

    Ripoti kuhusu kiwango cha jamii kuridhishwa na ulinzi wa hakimiliki ya ubunifu iliyotolewa na Idara ya hakimiliki ya ubunifu ya China imeonesha kuwa, kiwango hicho kinazidi kuongezeka, na kampuni za kigeni zinaongoza dhidi ya kampuni za watu binafsi.

    Ripoti hiyo imeonesha kuwa mwaka jana kiwango cha jamii kuridhishwa na ulinzi wa hakimiliki ya ujuzi kilikuwa 76.69, ambacho kiliongezeka kwa 4.31 ikilinganishwa na mwaka juzi, na pengo kati ya viwango vya kuridhika vya kampuni za aina tofauti limezidi kupungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako