• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China akutana na waziri wa uchukuzi wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-04-26 21:15:38

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amekutana na waziri wa uchukuzi wa Marekani Bibi Elaine Chao hapa Beijing.

    Bw. Li amesema, hakuna mshindi kwenye mgogoro wa kibiashara na China iko tayari kufanya mazungumzo na Marekani.

    Bibi Chao amesema, hivi sasa uhusiano kati ya China na Marekani uko katika kipindi muhimu cha maendeleo, pande hizo mbili zinafanya juhudi kutatua mvutano, Ameeleza matumaini yake kuwa pande hizo zitapata mafanikio katika mazungumzo yao kuhusu suala la uchumi na biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako