• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ataka maendeleo ya ukanda wa kiuchumi wa mto Yangtze yahimize ukuaji mzuri zaidi wa uchumi

    (GMT+08:00) 2018-04-26 21:16:09

    Rais Xi Jinping wa China amesema kuhimiza maendeleo ya ukanda wa kiuchumi wa mto Yangtze ni uamuzi muhimu uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, pia ni mkakati muhimu unaohusu hali ya jumla ya maendeleo ya kitaifa.

    Rais Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati hiyo, amesema hayo alipoendesha mkutano kuhusu kuhimiza maendeleo ya ukanda wa kiuchumi wa mto Yangtze. Amesisitiza umuhimu wa kulinda mazingira ya ikolojia, kutofanya uendelezaji mkubwa, kuimarisha mageuzi na ubunifu, kuratibu mkakati na kufanya maendeleo ya ukanda huo yahimize ukuaji mzuri wa uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako