• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaanzisha kampuni mpya ya kutengeneza satelaiti mjini Wuhan

    (GMT+08:00) 2018-04-27 08:53:22

    China imeanzisha kampuni mpya ya kutengeneza satelaiti katika mji wa Wuhan, ulioko katikati mwa China. Mkuu wa kampuni hiyo Lyu Dongming amesema kampuni mpya ya Maendeleo ya Uhandisi wa anga za juu iliyoko chini ya Kampuni ya Sayansi na Viwanda vya anga za juu ya China CASIC, ina uwezo kamili wa utafiti na usanifu wa satelaiti, na ina teknolojia za kiini kwenye muundo wa satelaiti na udhibiti wa joto kwenye satelaiti. Kampuni hiyo mpya inatarajiwa kuwa na uwezo wa kutengeneza satelaiti zaidi ya mia moja kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako