• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa China na India wafanya mkutano usio rasmi

    (GMT+08:00) 2018-04-27 18:55:21

    Rais Xi Jinping wa China na waziri mkuu wa India Bw. Narendra Modi ambaye yuko ziarani nchini China wamefanya mkutano usio rasmi huko Wuhan, katikati ya China.

    Mkutano huo kati ya viongozi hao wawili ulianza kutoka jumba la makumbusho la mkoa wa Wuhan. Viongozi hao waliangalia utamaduni wa China wenye historia ndefu, huku wakibadilishana maoni kuhusu kuimarisha mawasiliano kati ya nchi hizo mbili na kuhimiza kuishi kwa amani kwa tamaduni tofauti. Baada ya hapo, viongozi hao walifanya mazungumzo kwenye hoteli ya Donghu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako