• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wanafunzi wa nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" wanaosoma nchini China yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-04-30 19:09:11

    Mawasiliano na ushirikiano kati ya vyuo vikuu vya China na nchi za nje yameongezeka kutokana na utekelezaji wa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na idadi ya wanafunzi wa nchi zinazohusika na pendekezo hilo imeendelea kuongezeka.

    Takwimu zilizotolewa na wizara ya elimu ya China zinaonyesha kuwa, mwaka 2017 wanafunzi kutoka nchi na sehemu 204 wamesoma katika vyuo vikuu 935 vya China. Idadi ya wanafunzi wanaosoma shahada za uzalimu na uzamivu imefikia elfu 75.8, ambayo ni ongezeko la asilimia 18.62 kuliko mwaka 2016. Idadi ya wanafunzi wa nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" imefikia laki 3.17, ambayo imechukua asilimia 64.85 katika wanafunzo wote wa nchi za nje, na ongezeko limefikia asilimia 11.58.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako