• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ahamasisha wachina wafanya bidii katika zama mpya

    (GMT+08:00) 2018-04-30 19:23:07

    Rais Xi Jinping wa China amewahamasisha wafanyakazi wote wa China wafanye kazi kwa bidii katika zama mpya, ikiwa ni siku moja kabla ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mei Mosi kila mwaka.

    Rais Xi amesema hayo katika barua yake akijibu barua iliyoandikwa na wanafunzi wa chuo cha uhusiano wa kazi cha China. Rais Xi amewatakia wanafunzi hao pamoja na wafanyakazi wote wa China kila la heri katika siku ya kimataifa ya wafanyakazi.

    Rais Xi amesisitiza kuwa, kazi ni fahari, utukufu na uzuri, ambayo jamii ya ujamaa na zama mpya inajengwa na wafanyakazi wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako