• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya IPSOS yaonesha ushawishi wa China nchini Kenya wazidi Marekani kwa mara ya kwanza

    (GMT+08:00) 2018-05-01 10:15:57

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la utafiti la IPSOS, inaonyesha kuwa ushawishi wa China nchini Kenya umezidi wa Marekani kwa mara ya kwanza, na kuwa mshirika wa kuaminika zaidi kwa Kenya.

    Kwa mujibu wa uchunguzi huo uliofanywa mwezi Machi mwaka huu kwa raia 2,002 wa Kenya, asilimia 34 ya wahojiwa wanaona kuwa uhusiano kati ya Kenya na China ni muhimu zaidi kati ya mahusiano ya Kenya na nchi nyingine.

    Shirika hilo linaona hali hii inatokana na mchango mkubwa wa China kwenye ujenzi wa uchumi na maendeleo ya jamii ya Kenya, hususan katika sekta ya miundo mbinu, na misaada ya China kwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako