• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yajadili mswada wa kutouzwa kwa magari ya zaidi ya miaka 8

    (GMT+08:00) 2018-05-01 18:57:13

    Wauzaji magari nchini Uganda wamesema raia wengi nchini humo wakiwemo wabunge na wafanyabishara hawawezi kumudu bei ya magari mapya.

    Mmoja wa wauzaji Sam Magulu amesema kuwa ni watu wachache sana wanaoweza kununua magari yaliotengenezwa mwaka 2011.

    Bunge nchini Uganda linajadili mswada wa kupiga marufuku uagiziaji wa magari yalio na zaidi ya miaka minane.

    Iwapo marufuku hiyo itatekelezwa wauzaji magari wanasema itaathiri pakubwa biashara yao.

    Kwa mwezi wauzaji hao hununua magari 4,000 kutoka nje mengi yakiwa yalitengenezwa nyuma ya mwaka 2011.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako