• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda inapanga kutoza kodi zaidi kwa nyumba

    (GMT+08:00) 2018-05-01 18:58:11

    Serikali ya Rwanda ina mpango wa kuanzisha kodi mpya ya mali kulingana na bei za soko ili kuongeza mapato ya ndani kusaidia mipango yake ya maendeleo.

    Kwa mujibu wa rasimu ya pendekezo liliko bungeni, serikali ina mpango wa kuanzisha kodi ya asilimia tano faida ya mauzo yoyote ya nyumba zenye thamani ya zaidi ya dola 35,000.

    Wataalam wanasema kwamba muundo mpya wa kodi uliopendekezwa utaleta walipa kodi wengi wenye kodi kwa kiwango cha awali kilicholipwa na masikini.

    Hata hivyo, kama kutekelezwa kwa ufanisi, kodi mpya kwa nyumba inatarajiwa kuongeza mapato ya ndani ambayo kwa sasa huchangia 16.1 kwa Pato la Taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako