• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Kusini: Shirika la ndege la Afrika kusini lihitaji mtaji kwa dharura

    (GMT+08:00) 2018-05-01 18:58:30

    Shirika la ndege la Afrika kusini linahitaji kwa dharura mtaji mpya ili kuboreehsa hudma zakr.

    Mkurungezi wa shirika hilo Vuyani Jarana amesema wanajadili na benki kadhaa na wizara ya fedha ili kupata mkopo.

    Shirika hilo la kitaifa halijawahi kupata faida tangu mwaka wa 2011 licha ya kwamba limepokea ruzuku ya zaidi ya dola bilioni 1.6 kutoka kwa serikali.

    Vuyani Jarana amaesema ndani ya miezi 6 ijayo watahitaji karibu dola bilioni 5 ili kuimarisha mtaji wake wa oparesheni.

    Matokea ya kifedha ya mwaka 2017 yalionyesha ilipata hasara ya rand bilioni 5.6 na bado linatakiwa kulipa deni la dola biloni 9.2 ifikapo Machi 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako