• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Jamhuri ya Dominica kuanzisha uhusiano wa kibalozi ni jambo la busara

    (GMT+08:00) 2018-05-02 18:49:23
    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, China na Jamhuri ya Dominica kuanzisha uhusiano wa kibalozi ni jambo la busara, hakuna upande uliolazimishwa na hatua hiyo si ya kibiashara. Amesema ipo China moja duniani, serikali ya Jamhuri ya watu wa China ni serikali pekee halali, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka na China. Dominika kukata uhusiano kati yake na Taiwan na kuanzisha uhusiano wa kibalozi na China kunafuata sheria ya kimataifa na kanuni ya uhusiano wa kimataifa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako